Showing posts with label bongofleva. Show all posts

XCLUSIVEEE!!! ALLY KIBA AMCHAPA DIAMOND PLATNUMZ VIBAYA, SOMA HAPA

0 comments




Kama tulivyowaahidi wasomaji wetu wa  http://www.bongo123.com/ (Bongonewz Magazine) kuwa leo tutatoa matokeo ya mpampano ambao tuliuanzisha juzi tarehe 24 December. Tulimpambanisha ALLY KIBA na Diamond platnumz kupitia ukurasa wetu wa Facebook kwa kuweka picha na watu kucomment jina la msanii wanayemkubali >>>>TAZAMA HAPA<<<. Mbali na ukurasa wa facebook, pia wasomaji walipiga kura kupitia mtandao huu >>>HAPA<<<<.  Mpambano ulikuwa mkali na wasanii hawa walivutana kweli lakini mwisho wa siku matokeo yalikuwa hivi!!!

KATI YA KURA 159 ZILIZOPIGWA KUPITIA FACEBOOK NA KATIKA MTANDAO HUU MATOKEO YALIKUWA HIVI:

ALLY KIBA ==============KURA 110
DIAMOND PLATNUMZ======KURA 43
ZILIZOHARIBIKA==========KURA  6

Kutokana na matokeo haya, wasomaji wengi wameonyesha kumkubali zaidi ALLY KIBA kuliko Diamond kwani amemzidi sana Diamond kwa kura, na baadhi ya wasomaji walitoa maoni yao kuwa  Diamond ana nyota tu lakini hajui kuimba kama Ally Kiba na kwamba anajua sana kuuza skendo ndio maana amekuwa akisikika sana. Japokuwa Ally Kiba yupo kimya lakini mziki wake unakubalika zaidi >>BOFYA HAPA KUSOMA MAONI YA WASOMAJI<<

SASA HII NI CHANGAMOTO KWA ALLY KIBA KUTOA VITU VITAKAVYOENDELEA KUMUWEKA JUU NA HATIMAYE KUMFUNIKA ZAIDI DOGO DIAMOND.

HONGERA SANA ALLY KIBA BADO UKO JUU SANA

PENDEKEZA NEXT TIME TUMSHINDANISHE NANI NA NANI, COMMENT CHINI MAJINA YAO

Soma zaidi Hapa »

NEW AUDIO : ASIA ft SHILOLE, DOWNLOAD NA USIKILIZE HAPA

0 comments


Soma zaidi Hapa »

HATIMAYE VIDEO YA DIAMOND YAANZA KURUSHWA KWENYE TELEVISION ZA KIMATAIFA ZA BURUDANI, UNAJUA NI TV ZIPI?? BOFYA HAPA

1 comments




d8 
Lilikuwa swali kwamba inakuaje video iliyotumia ya gharama kubwa zaidi ya msanii wa bongoflava haipati airtime kwenye vituo vya kimataifa wakati video nyingine za wasanii wa muziki huu huu wanafanikiwa kupata airtime.
Jibu la swali hilo hatimaye limepatikana baada ya video ya My number one kuanza kuchezwa kwenye vituo maarufu duniani.
Diamond kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii aliwajulisha mashabiki wake kwamba wanaweza pia kuiona video ya My number one kwenye channel ya Trace na Sound City.
Kupitia Trace video hiyo imetambulishwa kama video mpya na kwenye Sound city imerushwa kwenye trending video request na hizi ni picha kutoka kwenye screen wakati video hiyo ikipata airtime kwa mara ya kwanza kwenye vituo hivi.
d1
d2
d3
d6
d7




Soma zaidi Hapa »

TAZAMA PICHA ZA BEHIND THE SCENE YA REMIX YA MY NUMBER ONE

0 comments


Naamini ipo siku nasi Tanzania tutasimama Vyema Katika ramani hii ya muziki Worldwide na kuipa sifa na Heshima zaidi East Africa yetu.... Eeeh Mwenyez Mungu ibariki Tanzania, ibariki East Africa na Africa yetu kwa ujumla.... #LastNight #Onset #NumberOneRemix #DiamondFtDavido #ClarencePeterBehindTheCamera

Soma zaidi Hapa »

PICHA : MTAZAME DIAMOND AKIFANYA INTERVIEW NA EBONY TV YA NIGERIA

0 comments

TAZAMA PICHA 5 ZA DIAMOND ALIPOKUA AKIFANYA MAHOJIANO NA EBONY TV YA NIGERIA


Soma zaidi Hapa »

PICHA ZA MAHAFALI YA NIKKI WA PILI UDSM JANA ALIPOHITIMU MASTERS YAKE

0 comments

Soma zaidi Hapa »

NEW SONG : RAPH Featuring STEVE R n B...DOWNLOAD HAPA

0 comments
Raph Lih’s avatar


Soma zaidi Hapa »

HII NDIO RIPOTI YA KESI YA AGNESS MASOGANGE....

0 comments

Mapema Dar es salaam jana Waziri wanchi ofisi ya waziri Mkuu sera na uratibu wa shughuli za Bunge Wiliam Lukuvi alisema Serikali inafuatilia kwa karibu kesi zinazowahusisha Watanzania waliopo nje ya  nchi wanaotuhumiwa na biashara ya dawa za kulevya wakiwemo wanamichezo na wasanii mbalimbali.

Alisema ilikuthibitisha hali hiyo timu ya watendaji  imetumwa nchini Afrika kusini hivi karibu ili kukutana na kina Masogange kujua undani wa kesi yao na imethibitika kuhusika kweli na tuhuma hizo ambapo inasadikiwa jana  kesi yao imesomwa rasmi na kusubiri hatua zaidi za kisheria.

Akizungumzia  taarifa za kukamatwa kwa mwanamichezo Kaniki na Matumla Lukuvi alisema taarifa  hizo zitatolewa ufafanuzi zaidi na Serikali baada ya kupokea taarifa za kiofisi kutoka nchini  Ethiopia.
Kwa upande wake Mkuu wa kitengo cha kupambana na kudhibiti na dawa za kulevya Godfrey Nzoa alisema kati ya timu waliokwenda Afrika kusini ni pamoja na yeye mwenyewe ambaye alifanikiwa kukaa kwa karibu na wafungwa hao akiwemo Masogange na kubaini kuna siri nzito mgongoni mwa Mwasogange hivyo inahitaji uchunguzi ili mkono wa sheria uweze kuwagusa wote wanaohusika na kutumia wasanii katika janga hilo.

“Ni kweli masogange na wenzie wamekamatwa na dawa aina za Ephedrine ambazo ndio zinazotengeneza dawa za kulevya na zinaruhusiwa kuingia nchi yeyote kwa kibali malaum kwani pia zinahusika kutengeneza dawa za kifua  na timu iliyotumwa na Serikali imeweza kuzungumza nao lakini haimaanisha kwenda kwetu gerezani tunawatetea au tutawasaidia hapana kwakua hawakutumwa kufanya baisahara hiyo haramu ila tunajaribu kuwa karibu ili kuona wanapata haki zao na kuweza kubaini waliopo nyuma yao na kweli tumefanikiwa mnyororo ni   mrefu tunaendelea na uchunguzi ili kujua wafadhili na mabosi zao tunawatiaje mikononi”alisema


Aliongeza kuwa ameshangazwa na kipato kidogo wanachopata wasanii hao akiwemo Masogange ambapo Afande Nzoa hakutaka kukiweka hadharani ili kupisha uchunguzi zaidi huku akiongeza kuwa  kufuatia sheri iliyopo wasanii hao kesi zao zitafanyika Afrika  kusini kwakua ndiko walikokamatiwa na endapo kuna mkataba wa ubadilishana wafungwa Serikali itaangalia njia ya kuwasaidia ili watumikie vifungo vyao nchini.

Soma zaidi Hapa »

BREAKING NEWS: MSANII WA BONGO FLAVA MANGWAIR AFARIKI DUNIA LEO AKIWA SOUTH AFRIKA

0 comments
 
BREAKING NEWS: Mwanamuziki wa Hip-Hop ALBERT MANGWAIR amefariki dunia LEO huko Afrika Kusini katika hospitali ya Hellena Joseph. Endelea kusikiliza East Africa Radio na kutazama East Africa Television (EATV) kwa habari zaidi.

Soma zaidi Hapa »

HEBU CHEKI PICHA 16 ZA WANAMUZIKI WA EXTRA BONGO WALIVYOTEMBEA KAMBI YA WACHEKESHAJI WA SHOW LEO may 01/2013 JIJINI TANGA:

0 comments
Alioko katikati ni Mchekeshaji maarufu hapa nchini ''Masai Nyotambofu'' Ambae pia ni DIRECTOR wa masainyotambofu.blogspot.com Akiwa na wanamuziki nguli kutoka bendi ya EXTRA BONGO ''Sura Mauzo'' na ''Papii Katalogy''. EXTRA BONGO ni bendi Inayo endeshwa na mwanamuziki mkongwe katika muziki wa dance hapa nchini ''Ali Choki'', Leo walitia tim kwenye kambi ya wachekeshaji wa VITUKO SHOW kundi linalopagawisha hapa nchini na nje ya nchi kupitia kipindi chake cha VITUKO SHOW kinachorushwa na runinga ya CHARNEL TEN. Wanamuziki hao walitembelea kambi hio majira ya saa kumi na moja jioni kabla ya SHOW itakayofanyikia Tanga Hotel jijini Tanga Leo usiku.

BANZA STON mwanamuziki nguli.
Huyu ndio PAPII KATALOGY nooma!


Majembe mawili haya

Hapa Tupo nje ya mjengo kwenye mkeka asili ya Tanga Tunapata upepo wa bahari maeneo yetu ya sahare.




KIBOSHO


SURA MAUZO

BANZA STON

Mpiga Drams machachari wa EXTRA BONGO Anaetambulika kwa jina la ''Kibosho'' akijinafasi na totoz ya nguvu Tabitha Shotii kutoka VITUKO SHOW.

ATANASI HUYO

PAPII KATALOGY NA BONGE LA SIMU!

''ATANASI'' mwanamuziki nguli noma kwa masauti.

SURA MAUZO, YOSSO KOMANDO Camera man wa VITUKO SHOW, KIBOSHO na PAPII KATALOGY wakiwa kwenye pozzzzzzzz.
PICHA NA mwandishi wa masainyotambofu.blogspot.com

Soma zaidi Hapa »

"SISHANGAI KUYAANIKA MATITI YANGU KWA MASHABIKI ".....BABY MADAHA

0 comments
BongoNewz
Picha ya Baby Madaha akiwa Jukwaani
KATIKA hali ya kushangaza, msanii asiyekaukiwa matukio, Baby Joseph Madaha ameibuka na kusema ameshangazwa na kitendo cha watu kumnyooshea vidole baada ya picha zake zinazomuonesha matiti nje kuanikwa mitandaoni na gazetini.

Akizungumza na mtandao wa mpekuzi, msanii huyo alisema, picha hizo zilipigwa wakati alipokuwa akiwajibika jukwaani lakini pia eti haoni kitu cha ajabu kwa mashabiki wake kuziona ‘nido’ zake.
“Sasa cha ajabu nini pale? Nilikuwa jukwaani kwa bahati mbaya sidiria ikanivuka na matiti yakatoka. Ilikuwa ajali kazini ,” alisema Baby Madaha.

 Msanii huyo alipokuwa kwenye tamasha moja mkoani Morogoro hivi karibuni alinaswa jukwaani  akiwa amelewa  huku sehemu kubwa ya kifua chake ikiwa wazi, kitendo kilicholaaniwa na wengi kwani ni kinyume na maadili ya Kitanzania.

Soma zaidi Hapa »

CHALZ BABA: 'GAZETI LA AMANI LIMENICHAFUA'

0 comments
BongoNewz
Msanii nguli wa muziki wa dansi nchini, Chalz Baba amesema kuwa gazeti la Amani limemchafua kwa kuandika kuwa anataka kumuoa Lulu na tayari ameshaenda kwa mzee Michael kujitambulisha. Anasema habari hizo sio za kweli ni za kumchafua tu, aliyasema hayo alipokuwa akiongea na MPEKUZI

Alipoulizwa ni hatua gani atachukua baada ya kuona habari hii ya uongo akasema hayo yote anamuachia mungu coz gazeti ni la leo na litapita na litaenda watakua wamefurahisha nafsi zao tu lakini imemuuma sana kwa hili.

LAKINI pia alipoulizwa kuwa hii ni mara ya pili anaandikwa gazetini kuhusiana na hili huku ya kwanza ikiwa ni kuhusina na kukamatwa kwake kutokana na kifo cha Kanumba akasema yote wanaoyoandika hayana ukweli na kusema Lulu ni rafiki ake wa kawaida tu na wala hawana mazoea hayo.

MSIKILIZE CHALZ BABA HAPA

Soma zaidi Hapa »
Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs