Pages

Sunday, September 16, 2012

Diamond Ajibu Kauli za yule Dada wa Kenya....Soma Hapa

Baada ya Gazeti la Risasi kutoa habari kama inayoonekana katika kurasa yake ya mbele, kuwa Jokate na Wema hawana chao baada ya Diamond kupata mtoto wa Ki malindi, Msanii Diamond amepost katika website yake na kukanusha tuhuma hizo za huyo dada na kudai kuwa amesikitishwa sana na kauli ya huyo dada.......
MAELEZO YA DIAMOND KUHUSU KILICHOSEMWA NA HUYO DADA NI HIKI....

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII