Pages

Tuesday, October 2, 2012

HIVI NDIVYO JUKWAA LA FIESTA LITAKAVYOKUWA JUMAMOSI LEADERS


Hili ndilo jukwaa la Serengeti Fiesta 2012 ambalo mwanamuziki wa Hiphop Rick Ross “The Boss”kutoka  kutoka nchini Marekani ataongoza wasanii mbalimbali wa nyumbani kutoa burudani katika tamasha hilo litakalofanyika kwenye viwanja wa Leaders jijini Dar es salaam Oktoba 6 Jumamosi ijayo.

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII