BONGONEWZ BLOG
Vurugu kubwa imezuka ndani ya ukumbi katika uchaguzi Wa mwemyekiti UWT CCM ambayo Sophia Simba ameibuka mshindi. inadaiwa kwamba chanzo cha vurugu ni pale Sophia Simba alipomsemea mbovu Shyrose Banzi baada ya Sophia kumfuata Shyrose alipokuwa amkaa na kumpa mipasho! Hii ilitokana na Shyrose kumuuliza swali Sophia Simba ni Maendeleo gani amewaletea wanawake katika kipindi chake cha miaka minne.

No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII