BAADA YA NEY WA MITEGO KUMKANA NISHA, PICHA ZAO ZA KIMAHABA ZIMEVUJA NA KUENEA KILA KONA
Picha hizi zimesambaa kwa kasi ikiwa ni siku moja tu baada ya NEY KUKANUSHA KUWA HANA UHUSIANO NA NISHA ...
Sasa Sijui Zimevujaje ? Ney wa Mitego ni mwanamuzi Ambae Siku za Karibuni Amepata umearufu kwa Kuwapa "MADONGO" Wasichana wa Bongo Movies Kuwa ni Malaya Wenye Viwango ...
Kumbe na yeye alikuwa anaponea huko huko

mi naomba tu wasan wa bongo waache tabia ya umaraya watambue wao ni kioo cha jamii!!kupiga picha uch sio fasion waache hiyo!!!kama wana shindwa jama waoe ama waorewe!!!
ReplyDelete