Kwa Hisani ya Djfetty Blog.
gari la Diamond baada ya ajali
Jumamosi wiki iliyopita, msanii Diamond alipata ajali barabara ya chole
alipokua akitokea Sleepway kushoot video ya pini lake jipya lenye
zengwe hatari tangu litoke (nataka kulewa).
"mida kama ya saa tatu tatu hivi kasoro,nikiwa narudi home, napita mitaa
ya arabela mbele kuna Rav 4 mkono wa kulia kuna pikipiki nilikua nataka
ku overtake pikipiki, nikataka niikwepe pikipiki kwapembeni kulikua na
shimo, nikajaribu kurudi kwenye lami ndio nikaenda kugongana na
Rav4..lakini hakuna mtu alieumia,"
"unajua mwisho wa mwaka tena huu, watu wanatoa kafara zao bahati mbaya
zinatukuta watu kidogo manguli hazituumizi sana, wepesi wepesi
wangeondoka mzima mzima kabisa wangebaki story tu alikufa na ajali,
sababu hata ukitazama wanaopata ajali ni wale wanao hit, zinafeli
hahhaaaaa i was just kidding." ameema Diamond
Leo hii pia nilipigiwa sim mida ya saa nane na nusu nakuambiwa kuhusu ajali aliyopipata Ommy dimpoz..
"fetty nimepishana na gari la Ommy Dimpoz amepata ajali sasa hivi na limebebwa na Break Down" alisema jamaa." nikaona kuthibitisha hili, Ommy mwenyewe atafunguka na baada ya kuvutiwa waya akafunguka
"nikweli nimepata ajali maeneo ya Millenium Tower nikiwa naelekea kwa P
Funk nilikua nna session kidogo , ghafla aliekuwa mbele yangu akafunga
break na nikaingia kwa nyuma..."
zaidi msikilie hap chini
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII