|
My dear, my everything Tatiana.....Hongera sana kwa hatua uliyoifikia |
|
Haaaa, pendeza sana mamy..... |
|
My Tatii and my beeeeest friend Alex Wilbrad..You are part of my life guys I real love u |
Hakika ilikuwa ni siku yenye furaha sana kwangu kwa sababu watu wangu
wa muhimu saaaana ndio walikuwa wanahitimu degree yao ya
kwanza katika chuo kikuu cha St. John Dodoma.....Hongera sana my dear Tatii, finally you have accomplished the
journey, ni safari iliyokuwa na changamoto nyingi sana ambazo kama huna
moyo wa uvumilivu ni vigumu sana kuivuka....Nakupongeza kwa hili na
nakuombea kwa Mungu akujalie mafanikio mengi zaidi katika kila
ulifanyalo. Love you sana!!!
|
Chezea wewe....pozi la enzi hizooooooooo |
|
Alex Wilbrad katika pooooz |
Hongera pia my friend Alex Wilbrad, u are my best friend and Im really happy for you are achievements...hahahahahahaha.
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII