Mshindi wa shindano la Epiq Bongo Star Search 2012 (EBSS),Walter Chilambo (Dar) akikabidhiwa sanduku lake lenye kitita cha shilingi milioni 50
Mshindi wa shindano la Epiq Bongo Star Search 2012 (EBSS),Walter Chilambo (Dar) akiwashukuru wapenzi na msahabiki wake waliompigia kura na hatimaye kuibuka mshindi wa shindano hilo.
Mkurugenzi wa kampuni ya Benchmark Productions Limited, na jaji mkuu wa Shindano la Epiq Bongo Star Search 2012 (EBSS), akiwa amemkumbatia mshindi wa shindano hilo Walter Chilambo ndani ya ukumbi wa Diamond,Chilamba ameibuka na kitita cha shilingi Milioni 50
Barnaba akiimba na mmoja wa washiriki
NshomaNg'hangasamala akiimba
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Linah na Amin wakiimbwa kwa pamoja wimbo mpya uitwa Mtima Wangu
Mwasiti akicheza na Wababa
MWASITI
WALTER CHILAMBO ndiye mshindi wa Shindano la Epic Bongo Star Search (EBSS) 2012. Kufuatia matokeo hayo Kalambo amejinyakulia kitita cha Shilingi Milioni 50 za Kitanzania kutoka kwa wadhamini wakuu wa shindano hilo kampuni ya Simu za Mkononi ya Zantel.
Chilambo ametwaa ubingwa huo baada ya kumwangusha mwana dada kutoka Zanzibar ambaye alikuwa ni mshindani wake wa karibu katika kinyang’anyoro hicho Salma Yusufu.
Salma Yusuphu
MC’s wa Show hiyo alikuwa kijana mtanashati Caesar Daniel na mwana dada mrembo Vanessa Mdee ndio wanasongesha show nzima.
Huyu ni Salama Jabir na hapa ni katiak yale ya Look ndani ya fainali za EBSS 2012
Washiriki wa Washindano la EBSS 2012 ambao wamefanikiwa kuingia fainali ya shindano hilo wakiwa jukwaani usiku huu wakati wa kuanza kwa fainali hizo. Ni ndani ya Ukumbi wa Diamond Jijini Dar es Salaam. Mshindi kuondoka na kitita cha Shilingi Milioni 50 za kitanzania.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya
simu za Mikononi ya Zantel, Awaichi Mawalla akiwa katika mahojiano na
mmoja wa ma MC wa sho ya leo Caesar Daniel,wakati akingia katika zulia
jekundu la Fainali za EBSS nadani ya Diamond Jubilee.
Chanzo: www.thechoicetz.com
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII