MKUTANO MKUU WA CCM WAMALIZIKA, NA HAYA NDIO MATOKEO YA WALICHOFANYA
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM kwa kura
2395 kati ya 2937 zilizopigwa ambazo ni sawa na asilimia 99.92%
Akitangaza matokeo hayo Spika wa Bunge la Tanzania ambaye ndiye alikuwa msimamizi, Anne Makinda alisema kwamba Mwenyekiti alipata ushindi wa kura 2,395 kati ya kura 2,937 zilizopigwa, kura mbili zilisema hapana.
Makamu Mwenyekiti Zanzibar Dkt. Ali Shein alipata kura 2,397 wakati makamu kwa upande wa Bara ndugu Phillip Mangula naye alipita kwa asilimia miam moja.
Wajumbe 20 wa viti vya Bara na Zanzibar ni kama ifuatavyo:
Nafasi kumi za NEC Tanzania Bara:Akitangaza matokeo hayo Spika wa Bunge la Tanzania ambaye ndiye alikuwa msimamizi, Anne Makinda alisema kwamba Mwenyekiti alipata ushindi wa kura 2,395 kati ya kura 2,937 zilizopigwa, kura mbili zilisema hapana.
Makamu Mwenyekiti Zanzibar Dkt. Ali Shein alipata kura 2,397 wakati makamu kwa upande wa Bara ndugu Phillip Mangula naye alipita kwa asilimia miam moja.
Wajumbe 20 wa viti vya Bara na Zanzibar ni kama ifuatavyo:
1. Wassira Stephen - 2,135
2. January Makamba - 2,093
3. Mwigulu Nchemba - 2012
4. Shigela Martin - 1,824
5. Lukuvi William - 1,805
6. Membe Bernard - 1,455
7. Mathayo David - 1,414
8. Msome Jackson - 1,207
9. Mukama Wilson - 1,374
10. Mukangara Fenella – 984
Nafasi kumi za NEC Zanzibar:
1. Samiha Suluhu Hassan,1525
2. Mohammed Seif Khatib, 1668
3. Khadija Hassan Aboud,1625
4. Khamis Mbeto 1233
5. Abdulhakim Cosmas Chasamma 1248
6. Bhawanji Misuria Mshamba1406
7. Omar Yussuf 1485
8. Mbarawa Mnyaa 1850
9. Dkt. Husen Mwinyi 1579
10. Shamsi Vuai 1603.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII