Gari
aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa
akiendesha msanii wa filamu na muziki Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo
Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam kuelekea Kijijini kwao Lusanga
Wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga. Sharo Millionea alikufa papo hapo na
mwili wake kuhifadhiwa Hospitali ya Teule Muheza Tanga.
Baadhi
ya watu wakiliangalia gari aina ya Toyota Harrier lenye namba za
usajili T 478 BVR alilokuwa akiendesha msanii wa filamu na muziki
Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam
kuelekea Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga. Sharo
Millionea alikufa papo hapo na mwili wake kuhifadhiwa Hospitali ya Teule
Muheza Tanga.
Gari
aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa
akiendesha msanii wa filamu na muziki Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo
Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam kuelekea Kijijini kwao Lusanga
Wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga. Sharo Millionea alikufa papo hapo na
mwili wake kuhifadhiwa Hospitali ya Teule Muheza Tanga.
Mbunge
wa Jimbo la Muheza Hebert Mtangi akiwasili nje ya jengo la Chumba cha
Kuhifadhia Maiti cha Hospitali ya Teule Muheza kwa ajili ya kushuhudia
mwili wa msaniii Sharo Millionea aliyekufa katika ajali ya gari wakati
akitoka Dar es Salaam kwenda Lusanga, Muheza mkoani Tanga, ajali hiyo
imetokea katika kijiji cha Kijiji cha Songa Kibaoni jana usiku.
Wakazi
wa wilaya ya Muheza na maeneo mengine wakiwa wamefurika nje ya Chumba
cha Maiti cha Hospitali Teule Muheza, kusubiri kushuhudia mwili wa Sharo
Millionea, aliyefariki kwa ajali ya gari usiku wa jana.
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII