Habari mpya kutoka kwa Rose Ndauka baada ya kupiga story na mwandishi wa habari hii
ni kuhusu skendo za utapeli.....
Mrembo huyu amefunguka na kusema kwamba kumekuwa na madai mengi sana kwamba amekuwa akiitisha usahili kwa wasanii chipukizi na kuwachukulia fedha bila kuwashirikisha katika filamu zake.....
Ndauka alikanusha na kusema kwamba sio habari za kweli kwani anapoita usahili pale mtu anapofanya vizuri anamchukua na kama akifanya vibaya basi anamuelekeza ili siku nyingine atakapoitaji tena aweze kushiriki tena.
Hayo ndiyo maneno ya Rose Ndauka baada ya kuchonga nasi kuhusiana na tetesi ambazo zilikuwa zikizungumziwa kwamba anawachukia wasanii chipukizi wa filamu.

No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII