STUDENT’S SPECIAL BASH YATIKISHA DAR LIVE KWA WASANII WA NGUVU
Fid Q na Stamina wakifanya makamuzi ya hatari jukwaani.
Dullayo akiwapelekesha puta mashabiki.
Rich Mavoko akionyesha cheche zake jukwaani.
Kala Jeremiah akiwapagawisha mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live.
Stamina akiwatuliza mzuka mashabiki.
P Square wa Bongo (waliovaa ‘jeans’ na miwani) na madansa wao, wakilishambulia jukwaa.
Tano Bora wa shindano la The Mic King wakiwa katika picha ya pamoja.
Wanenguaji wa ‘Twanga’ wakionyesha ‘matindo’ wakiwa chini.
Fid Q ‘Ngosha’ akikamua mbele ya mashabiki wake.
Dullayo akifanya vitu vyake.
Kala Jeremiah akitoa burudani ya aina yake stejini.
Mashabiki wakimshangilia Kala (hayupo pichani).
Sehemu ya mashabiki waliokuwa wamefurika ukumbini hapo.
Stamina akiwachombeza kwa staili mashabiki. Nyuso za burudani zilizokuwa zimefurika Dar Live usiku wa kuamkia leo.
WASANII wa nguvu nchini wakiwemo Fid Q, Rich Mavoko, Dullayo, Kala
Jeremiah, Stamina, bendi ya ‘Twanga Pepeta’, na mchuano wa wasanii wa
muziki wa kufoka wa The Mic King waliwapagawisha maelfu ya wapenzi wa
burudani waliofika katika Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live huko
Mbagala jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII