HIVI NDIVYO IBADA YA KUMUAGA MWANAFUNZI WA ST. JOHN ALIYEUAWA KIKATILI ILIVYOFANYIKA......TAZAMA PICHA HAPA
| Marehemu mama yetu na mwanafunzi mwenzetu LYDIA LEO |
| Hapa wanafunzi pamoja na walimu wakijipanga kuupokea mwili wa marehemu mama yetu, mwanafunzi mwenzetu LYDIA LEO |
| Uzuni majonzi ndio iliyotawala moyoni mwetu kwa kumpoteza mwanafunzi mwenzetu LYDIA LEO |
| Wanafunzi wakiwa ukumbini kwa ibada ya kumuaga mwanafunzi mwenzetu LYDIA LEO |

0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII