Mamilioni ya waumini wa dini ya hindu
wakiingia kwenye mto wanaouita mtakatifu wa Ganges wenye maji ya baridi,
kwa kile wanachoamini kunawasafisha madhambi yao
tayari watu zaidi ya milioni tatu washaingia katika mto huo kwa jana
asubuhi na huku wakitegemea kufika watu million 11 kuingia kwenye mto
huo kufikia jana jioni, kwa ushahidi wa afisa mkuu wa maadhimisho hayo,
Mani Prasad Mishra
Siku ya jana inachukuliwa kuwa ni siku yenye kheri sana kutokana na kuwa
ni siku ya maadhimisho ya siki 55 yajulikanayo kama Kumbh Mela
Waumini hao wanaamini kuwa kuoga kwenye mto huo ni kujisafisha madhambi na ku
Polisi wakipiga doria
Mamilioni ya waumini wa dini ya hindu wakiingia kwenye mto wanaouita ni mtakatifu wa Ganges illions of Hindus followed naked holy men into the cold waters of the Ganges today as part of the world's largest gathering of people.
The ceremony in the Indian city of Allahabad came on the most auspicious day of the Maha Kumbh Mela, a 55-day religious festival which is expected to attract well over 100million bathing pilgrims.
A top festival official said nearly 3million people had bathed by late morning and 11million were expected to enter the frigid water by the end of Monday.
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII