
Baada ya mvutano wa muda mrefu na vitisho vya hapa na pale, hatimaye korea ya kaskazini imetoa video inayoonyesha ni jinsi gani wataishambulia marekani.....video hiyo inaonyesha jinsi ikulu ya marekani, white house itakavyoangamizwa na makombora yao...unaweza kuitazama hapa
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII