Pages

Sunday, March 24, 2013

MADARAJA MAPYA YA KUFAULU KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE ....DUH!! KWA STYLE HII WANAFUNZI WATACHOMOKA KWELI?????????

Serikali kwa kupitia wizara ya elimu imefanya mabadiliko kwenye madaraja ya alama za mitihani ya kidato cha nne. Hapo awali, madaraja yalikuwa ni kama ifuatavyo:

A = 81%-100%
B = 61%-80%
C = 41%-60%
D = 21%-40%
F = 0%-20%

Mabadiliko mapya yamefanywa na sasa madaraja MAPYA ni kama ifuatavyo:

A = 80%-100%
B = 65%-79%
C = 50%-64%
D = 35%-49%
F = 0%-34%

Taarifa imetolewa mapema ili wanafunzi kwa kidato cha nne waanze kujiandaa vyema na mitihani ijayo.

1 comment:

  1. hamna atae toka kwa hali hii, afu mm nahisi ndo hayo madaraja waliotumia mwaka huu, aisee mtu inabid uwe...........!!

    ReplyDelete

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII