Baada ya habari nyingi kuhusu Irene Uwoya kufumaniwa na Diamond kutawala vyombo vya habari mitandao hapo juzi, bongomovies iliamua kumtafuta kwa simu Irene Uwoya ili kuweza kupata majibu ya tuhuma za yeye kuingilia penzi lwa mwanadada Penny....
Bongomovie inadai kuwa ,jana tangu asubuhi ilikuwa ikimtafuta Irene Uwoya hewani bila mafanikio kwa kuwa simu yake ilikuwa ikiita bila kupokelewa....
Saa kumi na mbili hivi jioni, bongomovie hatimaye ilifanikiwa kumpata Uwoya hewani na kumtwisha zigo hilo la lawama na maswali kibao kuhusu kufumaniwa na Diamond.....
Bongomovie inadai kuwa, Uwoya alishindwa kujibu tuhuma hizo na kutoa jibu moja na fupi la mkatona .."ACHANA NAZO, HAZIWAHUSU"
Kundi zima la bongo movie likaona isiwe tabu ....likaamua kumwacha binti huyo .Hata hivyo kwa mtu yeyote mwenye umakini wa kufikiri atakuwa amekwisha elewa Uwoya alimaanisha nini...!!
Mbona tumeshamuelewa huyo mdada!
ReplyDeleteMbona tumeshamuelewa huyo mdada!
ReplyDeleteMbona tumeshamuelewa huyo mdada!
ReplyDeleteMbona tumeshamuelewa huyo mdada!
ReplyDeleteAmefanya yake pouwer kabisa! si wameamua bhana
ReplyDeleteMm bnafc cjaona kosa lake hapo! kwan ana uhuru wakumkubali yeyote amtakae!, kumbukeni yy ni bnadamu kama walivyo wengine na anamatamanio km wngine mcmsakame mtt wa wa2.
ReplyDelete
ReplyDeletemuachen ajipe raha
mtandao unazidi kuenea
ReplyDeleteKama kaamua ni yeye mbona diamond katoka na watu kibao lakini la irene limekuwa nongwa na watz tulishazoea kukanusha cku zote ila yeye hatakanusha wala hatakubali.so ukweli wanaujua wao bana.
ReplyDelete