Hii ni kauli ya Zitto kabwe Baada ya mbunge wa Arusha kutiwa mbaroni jana usiku..
BREAKING NEWS: Mbunge wa Arusha Mjini kupitia chama cha Demokrasia ma Maendeleo
(CHADEMA) Ndugu "Godbless Lema" usiku wa jana kuamkia leo saa8
amefikishwa Central Police bila kufahamika chanzo...
Hii inatupa
wasiwasi na kubaini kua kuna mchezo nyuma ya pazia unaochezwa na kundi
la watu wa chache katika siasa upande wa pili wa upinzani kibaya zaidi
ni ma'askari waliovamilia nyumbani kwa mbunge usiku wa jana na kulipua
mabomu na wakiwa na silaha kali utadhani wamekwenda kumkamata jambazi au
mtu mwenye kesi ya mauaji kitu ambacho sio kizuri.
#Pole kwa familia ya
Godbless Lema.
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII