Baada ya kutimia Mwaka mmoja sasa toka alipoondoka duniani msanii mahiri wa bongomovie, Marehemu Steven Kanumba, Msanii mwenzake Jack Wolper aamua kufanya movie kwa ajili ya kumuenzi star huyo, movie itakayozinduliwa hii leo katika viwanja vya leaders club maalumu kwa ajili ya kumuenzi na kumkumbuka marehemu. Kitu kizuri katika hii movie ni kuwapo kwa kijana ambaye ameact kama mdogo wake Kanumba, ambaye ameitendea haki sana nafasi aliyopewa kuact kwani ameact kama Kanumba alivyokuwa akicheza, NSIKUNYIME uhondo kwa stori nyingi, Icheki trailer ya movie hii hapa then toa maoni yako unaionaje????
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII