'NITAVUA NGUO HADHARANI ENDAPO VIDEO YANGU ITAFIKISHA VIEWS 100,000'......SHAA
Kwa waliokuwa na hamu ya kumuona huyu naye akiwa nusu uchi na kivazi cha kuogelea tuu, huu sasa ni wakati wao.....
Coca Cola pop Star maarufu kwa jina la Shaa amedai kuwa yupo tayari kuvua nguo zake hadharani na kuyaanika maungo yake nyeti na kubakiza kichupi cha kuogelea tu endapo video yake mpya ya Lava Lava itafikisha views 100,000 katika mtandao wa youtube
“Lava Lava Video imefikisha views 44,000+ leo.Endapo itafikisha 100,000 basi ntavua nguo zote na kuogelea coco beach mchana kweupe lets do,”Alitweet Shaa katika mtandao wa kijamii wa Twitta na kuongeza
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII