Pages

Wednesday, April 3, 2013

SAKATA LA LADY J DEE NA CLOUDS FM LAZIDI KUFUKA MOSHI, AMUINGIZA NA BEN POL...BEN POL ACHARUKA. SOMA HAPA


578551_10151281152335025_1668082456_n
Kama siku mbili tatu hizi mwanadada Komando Lady Jay Dee (Jide) ambae anafanya fresh na ngoma yake ya Joto Hasira akiwa na Prof. Jay ameonekana akifunguka na kutoa ya moyoni, issue kubwa ni kuhusu nyimbo zake kutopigwa na kituo flani cha radio, leo amefunguka zaidi na kutaja wasanii wawili ambao walikatazwa kufanya show Nyumbani Lounge sehemu ambayo inamilikiwa na Jide.
ji
Ben Pol (IamBenPol)
jiii

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII