Lulu akiwa na mama yake mzazi leo walipo tembelea kaburi la marehemu Steven Kanumba ikiwa ni mwaka mmoja toka amefariki |
Wakimuombea Marehemu Steven Kanumba |
Shada la Maua likiwekwa kaburini hapo |
O pole sana Lulu Mungu akutie nguvu. |
Mama Kanumba akisaidiwa kuweka shada la maua |
Lulu akiendelea kumlilia Kanumba huku Mama Kanumba akiweka shada lake la maua kwenye kaburi la mwanae |
Lulu akiwa katika picha ya pamoja na mama Kaumba mara baada ya misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu Steven Kanumba afariki. |
Lulu na mama yake mzazi wakiwa katika makaburi ya Kinondoni |
Waigizaji mbalimbali kwenye kumbukumbu ya Marehemu Kanumba makaburini Kinondoni muda mfupi uliopita, |
R.I.P Steven Kanumba
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII