Katika hali ya kustaajabisha sana msanii anayemake headline katika muziki wa Kidunia ajulikanaye kama Rihanna, ametinga katika party ijulikanayo kama Annual Kadooment Day celebration huko Barbados sehemu ambayo alizaliwa, katika party hiyo Rihanna aliamua kufanyia sherehe hiyo mtaani huku akiwa uchi kama picha na video inayoonekana.....Tazama picha na video mwenyewe ujionee dunia ilivyoisha
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII