TAZAMA PICHA ZA SHOO YA DIAMOND, BUKOBA AKIWA NA KANGA MOKO...DU!! NI BALAA
Taratibu....Mdogo mdogo kusongesha mzigo...!! |
Love ilitawala kwa mashabiki kufikia mimi kuvutwa chini na mashabiki ukumbini humo...!! kweli mashabiki wa BUKOBA walikuwa na mizuka...!! |
Mikono Juu......wotee wotee....!! |
Camera Man na mashabiki awakuwa nyuma kupiga picha za ukumbusho mahana historia mpya iliwekwa ndani ya jiji la wahaya.....!! |
kwenye show viuno mbele mbele...... aghaaa mule mule...!! |
Mambo ya kanga moja laki si pesa.....walikuwemo pia....!! |
KITU ndembe ndembe...kanga mpya ailoi maji...... !! kit6u ndembe ndembe....!! |
kitu mwake waacha weeee....agha ghaaaaaaaa .......laki si pesa milioni pocketman...!! |
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII