Pages

Thursday, April 18, 2013

TAZAMA PICHA ZA VURUGU ZILIZOTOKEA JANA BUNGENI JANA

Photo
Taswira ya vurugu zilizotokea bungeni dodoma jana ambapo Mbunge wa mbeya Mh mbilinyi akiskiwa pamoja na wenje, lema na wengineo
wakionekana kwa pamoja wakiwazuaia askari ili wasimtoe nje mh Tundu lissu aliyeamriwa na naibu spika atolewe nje ya ukumbi wa bunge

hapa waziri wa nchi na uratibu wa bunge Mh William Lukuvi akiwaeleza jambo wabunge wa chadema mara baada ya kikao cha bunge kuahirishwa baada ya kutokea vurugu bungen

2 comments:

  1. Atuna bunge tuna mfano wa bunge kwa kuwa tulichowatuma ni kupigana wacha na wao watekeleze kwa kupigana.
    Wabunge wote ni wapuuzi coz hakuna wanachofanya zaidi ya kuimba taarabu

    ReplyDelete
  2. mmmm bunge lageuka uwanja wa mapambano??????????????

    ReplyDelete

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII