TAZAMA PICHA ZA WASANII WA FILAMU KUTOKA GHANA WALIOKUJA KWA AJILI YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU KANUMBA
Leo asubuhi kwenye kanisa la KKKT Kimara Temboni kumefanyika misa ya kumuombea marehemu Steven Kanumba
ikiwa ni moja ya ratiba ya siku nzima ya leo. Misa hiyo ilihudhuriwa na
wadau wengi wa movie kama Lulu,Johari,Ray,JB,Dr
Cheni,Kupa,Mchompanga,Irene Uwoya na wengine wengi kama unavyoona kwenye
picha. Pia alihudhuria internatioanal manager wa marehemu Kanumba
pamoja waigizaji wawili kutoka Ghana ambao walikuwa marafiki wakubwa wa
Steven Kanumba.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII