Avril kwa sasa amegeukia upande wa kuigiza, ambapo baade mwaka huu
ataonekana kupitia series inayoitwa "Noose of Gold" itakayokuwa ikiruka
kupitia channel ya DSTV. Ameongea na mtandao wa Ghaflais, na kusema kuwa
bado wanarekodi na sasa wamefikia season ya 5, ambapo anaigiza kama
pusha wa madawa ya kulevya.
"sijawahi kabisa kudili na madawa ya kulevya, najifunza ulimwengu huo kwa sasa ili nifanye vizuri katika series hiyo." amesema Avril.
"sijawahi kabisa kudili na madawa ya kulevya, najifunza ulimwengu huo kwa sasa ili nifanye vizuri katika series hiyo." amesema Avril.
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII