BAADA YA KUSHARE LINK ANAYODAI INA PICHA ZA UCHI ZA LADY JAY DEE, ADAM MCHOMVU APOROMOSHEWA MATUSI MAZITO....SOMA MWENYEWE HAPA
Kutoka facebook muda huu Acc ya Adam Mchomvu imepost hivi nanukuu "
Picha za uchi alizopiga Lady Jay D bofya hapa" then akaweka link, ambayo
binafsi sijaielewa so sikuona umuhimu wa kuifungua.
Account hii inayotumia jina la Adam Mchomvu sijajua kama ni yake ama
fake na kama yake wame hack wakaandika au ameandika yeye mwenyewe, sitii
neno hapa.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII