
Baada ya kufanya vizuri na ile ngoma yake ya
JONII JONII ambayo aliitoa miaka kadhaa iliyopita na kuendelea kujizolea umaarufu zaidi,
ADAM MCHOMVU a.k.a
BABA JONII sasa mpya kutoka kwa
BABA JONII ni kuwa ameachia tena ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la
"AFRICAN LADY" ...
Kwenye ngoma hii
MCHOMVU amelishirikisha kundi la
RADAR ENTERTAINMENT ambalo linaundwa na baadhi ya wasanii wakubwa kama
TID, Ngwair, Country Boy, Rommy Jones na wengine ...
Sikiliza ngoma
AFRICAN LADY hapa chini ...
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII