HIZI NDIZO PICHA ZA BINTI ANAYEDAI MH. GOIDBLESS LEMA ALIMBAKA


INGIA KATIKA LINK HII http://missfbknitwearlyimo.blogspot.com/2013/05/byflora-lyimo-yaliyopo-ndani-ya-global.html NA UTAONA ALIVYOJIELEZA BINTI HUYO


NEW SONG!! NIPE KIDOGO - KINYAMBE ft PNC SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA
RAY C AANZA NA YEYE TABIA MBAYA, TAZAMA PICHA ALIZOTUPIA MTANDAONI
LADY JAY DEE ATOA WOSIA MZITO, ASEMA RUGE NA KUSAGA WASIKANYAGE MSIBANI HATA SIKU AKIFA....SOMA HABARI KAMILI ALICHOKIANDIKA HAPA
DUUH!!! HUU NDIO USALITI ALIOUFANYA ZITTO KABWE KWA CHADEMA...APOKEA MABILIONI YA PESA ILI KUKISALITI CHAMA
HAWA NDIO WATU WENYE SURA MBAYA ZAIDI DUNIANI.....TAZAMA PICHA ZAO HAPA
TAZAMA PICHA ZA MAHALI ANAPOISHI BABU WA LOLIONDO BAADA YA KUCHUMA PESA ZA WATZ
ULISHAZIONA PICHA ZA HEKALU LA MABILIONI AMBALO ANAMILIKI RAIS MUGABE? BASI BOFYA HAPA
NAFASI 43 ZA KAZI KUTOKA OFISI YA RAISI WAHII SASA, PRESIDENT’S OFFICE
NAFASI ZA KAZI LEO TAREHE 28 FEBRUARY 2013
BAADA YA KUTUHUMIWA KUGAWA URODA KWA DIAMOND, IRENE UWOYA AMEFUNGUKA
je huyu ni binti au limama mbona umri umeenda sana halafu kama ana force ujana. Mwenyezi Mungu amsamehe
ReplyDeleteAnapenda kutafuta umaarufu kwa nguvu zote
ReplyDeleteana tafuta umaarufu bro ange mtaka kweli ange kataa?
ReplyDeleteMahunusi wengi kweli duniani. Acha kuchafua nafsi za watu tafuta la kufanya kama huna la maana kuunga unga hizo picha na hao mastaa wengine hazikupi umaarufu wa kutaka kumchafulia mtu heshima yake. Paka mweusi usiye na sura wee. Hata haya huna hata sielewi hizo picha za hao mastaa wengine umeziokota wapi sijui mungu akusamehe.
ReplyDeleteDuuu kweli dunia imeisha wee hata kupakaa huo mtoko sa usoni hujui nani akubake hebu jiangalie kwanza mwenyewe kwenye kiooo then toa komment zako mwenyewe pls.
ReplyDelete