KAMA ULIKUWA MPENZI WA TAMTHILIA YA MARA CLARA....HEBU CHEK HIZI PICHA ZA SUZAN AKIWA HALF NAKED
katika pita pita zangu za kufuatilia undani wa hii tamthilia nikakutana
na udaku wa kuwahusu wasanii wengi wa Philipine. na hapa naanza na huyu
mwana dada na picha zake mbaya na za utupu nilizoziona na zikiwa na
story zisizoridhisha. nikajaribu kumuuliza rafikii wangu anayeishi huko
na alinijibu kuwa Mylene alikuwa mwenye tabia zisizoridhisha kipind cha
ujana. Ila kwa sasa mwigizaji huyu ametulia na hana visa kama zamani
enzi akianza kuvuma. hizi hapani baadhi ya picha zake. na baada ya hizi
tutakuletea udaku wa mwigizaji mwingine ambaye pia nae ameshiriki kwenye
Mara Clara. unataka kujua ni nai???
Source : emneys.com
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII