Pages

Sunday, June 16, 2013

SUGU APOROMOSHA TUSI ZITO KUHUSU SHOO YA MWANAFA.....SOMA ALICHOKIANDIKA HAPA

 
Baada ya show ya mwana FA kusambaa kwenye mitandao juu ya kupwaya kwa washabiki kuhudhuria na show ya mwanadada komando lady jay dee kufurika ....Msanii wa Hiphop Joseph Mbilinyi a..k.a  MR II a.k.a SUGU..Amshambulia mwana FA kwenye mtandao wa face book .HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA
"..The finest???!!..The finest My Ass..."
angalia apo chini Post yake Katika mtandao wa facebook


No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII