Pages

Thursday, August 29, 2013

BAADA YA MISUKOSUKO MINGI, HATIMAYE RAY C ABATIZWA NA KUOKOKA...TAZAMA PICHA ZA TUKIO ZIMA HAPA

Yule dada yetu msanii maarufu wa nyimbo za ubongo wa fuleva leo hii amewaka bayana ya kuwa yeye na shetani sasa ni paka na panya. Amethibitisha hayo katika post zake za instagram. Wambea hatuna maneno mengi zaidi ya kusema angalia picha hizo na wote tuseme AMEN umechagua njia njema.

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII