HEMED AZUNGUMZA BAADA YA KUPATA AJALI....SOMA ALICHOKISEMA
Baada ya kupata ajali ya gari jana alipokuwa
akimrudisha rafiki yake Gelly wa rhymes (Mwanamuziki wa bongofleva)
nyumbani kupitia ukurasa wake wa mtandao kijamii mwigizaji na
mwanamuziki Hemedy Suleiman amesema kuwa anamshukuru Mungu kwa kuwa
anaendelea vizuri licha ya ajali iliyomkuta.
Akiandika Hemedy amesema
“NAMSHUKURU MUNGU NAENDELEA VIZURI LICHA YA AJALI MBAYA ILIYONIKUTA..Ahsante kwa dua zenu..KIFUA TU NDIO KIMEUMIA SANA NA MKONO...”
Tunafanya mawasiliano zaidi na Hemedi kwa taarifa zaidi za chanzo cha ajali hiyo na tutawajulisha zitakapo kuwa teyari.
(Picha: gari alilopata nalo ajali Hemedi)

0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII