Pages

Wednesday, August 14, 2013

TAZAMA PICHA NYINGINE ZA MATUKIO KATIKA MAZISHI YA BILIONEA ERASTO MSUYA

Waombolezaji wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa bilionea Erasto Msuya.
Mke wa marehemu (Mrs. Erasto Msuya) akitoa heshima za mwisho.
Mmoja wa watoto wa marehemu akiaga mwili wa baba yake kwa simanzi.
Askofu akitoa heshima za mwisho.
Askofu akisaini kitabu cha rambirambi.
Viongozi wa dini wakisaini daftari la rambirambi.
Wakati unaingia nyumbani kwa bilionea Erasto Msuya hili ndio bango lililokuwa limewekwa.
Hii ndio nyumba ya milele ya bilionea Erasto Msuya ikiandaliwa.
Mbunge wa Simanjiro Ole Sendeka alipowasili msibani.
MC wa shughuli ya mazishi Jacob Steven 'JB' akiwa kazini.
Baadhi ya waombolezaji.
Waombolezaji wakifuatilia taratibu za mazishi kupitia runinga zilizokuwa zimewekwa kila kona.
Waombolezaji katika foleni ya kuaga mwili wa marehemu.
Hili ndilo Jeneza Lililokua limebeba mwili wa marehemu lililowashangaza wengi kwa vile lilivyokuwa likifunguliwa kwa 'Remote control'.
Watoto wa marehemu.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Erasto Msuya likiwa tayari kupelekwa eneo maalum kwa ajili ya kumpumzisha.
Watoto wa marehemu wakiwa wanaongoza safari ya kuelekea kaburini utakapohifadhiwa mwili wa baba yao.
Hii ndio ilikuwa safari ya kuupeleka mwili wa bilionea Erasto Msuya kaburini.
Wananchi wakiwa wamejipanga pembeni wakati mwili wa marehemu ukipitishwa.
Mwili wa marehemu ukiwasili eneo maalum kwa ajili ya maziko.
Dada wa marehemu akitoa neno la familia.
Mwili ukiwa eneo maalumu kwa ajili ya ibada ya mazishi.
Askofu akiendesha ibada ya mazishi.
Pichani juu ni taswira mbalimbali za mazishi ya bilonea Erasto Msuya aliyeuwa kwa kupigwa risasi.
PICHA ZOTE KWA HISANI YA KILIMANJARO BLOG

2 comments:

  1. At this time it appears like Movable Type
    is the preferred blogging platform available right now.

    (from what I've read) Is that what you're using on your blog?
    pene grande informacionpene.es h50crula

    ReplyDelete
  2. **Note: the writer is not receiving any payment from the company mentioned herein.
    After you have read these questions you will be able to gauge better if these style of speakers
    are for you. You can do all this and much more
    if you are willing to learn as Socrates did, that all the answers are in the questions and the way in which you ask them.


    Take a look at my weblog; http://www.youtube.com/watch?v=T3siQJdbKgM

    ReplyDelete

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII