Pages

Thursday, August 29, 2013

TAZAMA PICHA ZA WAREMBO WA REDDS MISS TANZANIA 2013 WAKIWA KAMBINI

Warembo wa Redd's Miss Tanzania wakiwa kambini katika hoteli ya Giraffe Ocean View jijini Dar es Salaam leo.
...Wakifurahia jambo kwa kupiga makofi wakati wakiongea na waandaaji pamoja na wadhamini.
Warembo wa Redd's Miss Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na wadhamini, waandaaji.
(Picha Issa Mnally / GPL)

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII