Pages

Thursday, September 5, 2013

BAADA YA VARANGATI BUNGENI, SUGU ATAFUTWA NA POLISI...SOMA ZAIDI



Taarifa za uhakika ni kuwa kuna Askari mmoja ambaye ni miongoni mwa walinzi wa Bunge ameenda kufungua faili Polisi Dodoma na kusema kuwa ametishiwa kupigwa na Mbunge Sugu, baada ya kufungua JALADA hilo polisi wamechukua Diffender 6 na wameingia mitaani kumtafuta ili aweke ndani mpaka kesho ndio afikishwe mahakamani asubuhi.

Lengo la kutaka kumkamata leo ni ili alale ndani hadi kesho asubuhi.
Bunge limebariki bila kujali kinga na madaraka ya Bunge, pia bila kujali ibara ya 100 ya katiba kuhusu haki za Bunge.

Polisi wana hasira sana na Sugu tangu alipowashinda kuhusu Ujinga wa Pinda ......

SOURCE: Jamii Forum

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII