BAADHI YA PICHA ZA JANA KWENYE MISS TANZANIA....TAZAMA HAPA
Redd's
Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa (katikati) akipunga mkono mara
baada ya kutangazwa mshindi. Kushoto ni mshindi wa pili, Latifa Mohamed
na mshindi wa tatu, Clara Bayo (kulia).
Redd's Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa akipozi na washiriki wenzake wa shindano hilo.
Happiness Watimanywa akiwa na ufunguo wa gari lake alilojishindia.
Warembo walioingia tano bora.
Gari la Redd's Miss Tanzania 2013.
Happiness Watimanywa akikabidhiwa ufunguo wa gari lake aina ya Toyota IST.
Mwanamuziki Judith Wambura 'Lady Jaydee' akitumbuiza wakati wa shindano hilo.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII