DIAMOND ASAINI DILI JINGINE LA PESA NA VODACOM, TAZAMA PICHA NA USOME ZAIDI
Msanii
wa muziki ya kizazi kipya Diamond Platinumz (kushoto) akisalimiana na
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin
Twissa, punde baada ya kusaini mkataba utakaowezesha wateja kuchukua
wimbo wa Diamond Platinumz kama Ring Back Tone (RBT) na wajishindie Tsh
50,000 kwa siku. Anayeshuhudia ni Salum Mwalim, Mejena wa Mahusiano ya
Nje, Vodacom Tanzania.
Msanii
wa muziki ya kizazi kipya Diamond Platinumz (mwenye fulana nyekundu)
akiucheza wimbo wake mpya ujulikanao kama My Number One, wakati wa
uzinduzi wa mkataba utakaowezesha wateja kuchukua wimbo huo kama Ring
Back Tone (RBT) na wajishindie Tsh 50,000 kwa siku. Mkataba huo ni baina
ya Diamond Platinumz na Vodacom Tanzania.
Mkuu
wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa
(katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa
offer ya miito ya simu jijini Dar es Salaam. Kupitia ofa hiyo, wateja
wanaweza kuchukua wimbo wa Diamond Platinumz kama Ring Back Tone (RBT)
na wajishindie Tsh 50,000 kwa siku. Kushoto ni msanii wa muziki ya
kizazi kipya, Diamond Platinumz na kulia ni Meneja wa Mahusiano ya Nje
wa Vodacom Tanzania, Salum Mwalim.
Msanii wa muziki ya kizazi kipya Diamond Platinumz (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa offer ya miito ya simu jijini Dar es Salaam. Kupitia ofa hiyo, wateja wanaweza kuchukua wimbo wa Diamond Platinumz kama Ring Back Tone (RBT) na wajishindie Tsh50,000 kwa siku. Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa (katikati) na kulia ni Salum Mwalim, Mejena wa Mahusiano ya Nje, Vodacom Tanzania.

0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII