Pages

Sunday, September 22, 2013

KAMA HUKUTAZAMA PICHA ZA KILICHOJIRI JANA KATIKA MKUTANO MKUUBWA WA CHADEMA, NCCR, NA CUF HAPO JANA, ZICHEKI HAPA

Viongozi wa upinzani wakishikana mikono kuonyesha mshikamano wakati wa mkutano wa hadhara wa kutafuta katiba mpya.
  Wananchi wakipunga mikono wakati wa mkutano huo.
  Freeman Mbowe akihutubia wananchi.
 Profesa Ibrahim Lipumba akihutubia.
Askofu Kakobe akihutubia.
Viongozi wa upinzani kutoka kushoto: Emmanuel Makaidi (NLD), James Mbatia (NCCR-Mageuzi), Freeman Mbowe (Chadema) na Profesa Ibrahim Lipumba (CUF) wakiwa katika mkutano wa kudai mchakato huru wa katiba mpya.
  Baadhi ya wakazi wa jiji wakifuatilia mkutano huo.
Wananchi wakiwa na mabango wakati wa mkutano huo.
Wananchi wakisikiliza kwa makini hoja za mkutano huo. 
Mwananchi aliyepagawa na hoja za Profesa Lipumba akizuiwa na mabaunsa baada ya kutaka kuvuka uzio.
Mwananchi akionyesha kuguswa na hoja za mkutano.   
(Picha : Chande Abdallah, Haruni Sanchawa na Mayasa Mariwata / GPL)

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII