Daraja likiwa karibu kabisa kuisha na kupitika nadhani wamebakiza finishing tu kwani cha muhumu ni kuvukika between bahari na nchi kavu... Magufuri anazidi kuchanja Mbuga akijitahidi kum overtake Mwakyembe... Kati ya Mawaziri wanaofanya kazi kwa kushindana huu ndio uongozi wa maendeleo...!
Ila najiuliza mbona kama jembamba tofauti na zile picha walizosema kutakuwa na wapita kwa miguu, Baiskeli na Pikipiki Magari makubwa yatakuwa yakipishana... wembamba huu mmmh! Sidhani
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII