ZAMANI
nilikuwa nikiskia mtu analalamika kaibiwa wimbo au kaibiwa njia.
Nilikuwa naona ni kama maigizo na mtu kutafuta kick ya kupandia .ila leo
nasema wazi DAIMOND PLATNUM amechukua korasi ya wimbo wangu niliopanga
kufanyanae unaitwa SWEATY SWEATY na kuiimba kwenye wimbo wake mpya NO 1
.. kanizungusha sana kumbe alikuwa na lengo lake...ila baridaa maisha
yanasonga...
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII