TAZAMA PICHA : DR SHEIN ALIPOMTEMBELEA PADRE ALIYEMWAGIWA TINDIKALI
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed
Shein, akimsikiliza Padre Joseph Mwang'amba alipokuwa akitoa
maelezo
jinsi alivyopata mkasa wa kumwagiwa tindikali jana.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed
Shein, akisalimiana na Padre wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya
Machui, Joseph Mwang'amba, alipofika katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kumpa pole, Mjini Unguja, baada ya kumwagiwa tindikali Mjini Magharibi - Zanzibar. Mmoja
wa Ndugu wa Padre aliyemwagiwa tindikali akimueleza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, hisia zake kwa
uchungu kutokana na kitendo hicho cha kumwagiwa tindikali Padre na
kuomba hatua zilichukuliwe ili kukomesha vitendo kama hivi ambavyo
vimeanza kuzoeleka.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII