AJALI MBAYA YATOKEA LEO HUKO TANGA, BASI NA LORI ZIMEGONGANA ...TAZAMA PICHA
Lori la Mizigo likiwa limeacha njia jana, baada ya kugongana na basi katika eneo la Kabuku mkoani Tanga na kuyahusisha magari matatu katika ajali hiyo. (Picha na Francis Dande)
Askari wa usalama barabarani wakiwa katika eneo la tukio.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII