Ilikuwa ni siku muhimu sana ambayo kila mwanafamilia, ndugu na marafiki wa Titus Busungu na Bi huruma hawataisahau. Hongereni sana ndugu zangu na Mungu awaongoze katika safari ya ndoa mliyoianza.....Hakika mlipendeza sana na siku hii itabaki kuwa kumbukumbu kwetu sisi sote tuliohudhuria. Mungu awajalie kila jema katika ulimwengu huu na Muishi kwa amani siku zote.....28/9/2013.
HONGERENI SANA
No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII