Pages

Sunday, October 20, 2013

HAWA NDIO WASHIRIKI WA SHINDANO LA KUMTAFUTA HANDSOME WA DAR...TAZAMA PICHA

Dar Next Handsome ni Mashindano Ya Vijana Watanashati zaidi Dar Es Salaam na Mshindi anakwenda Lagos Nigeria kushindana Kwenye Mr Africa. Vijana hawa sita walikuja Fnl kuzungumzia Mashindano Haya.

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII