Pages

Thursday, October 24, 2013

JOKATE AFUNGUKA KUHUSU MAHUSIANO YAKE NA DIAMOND YALIVYOKUWA...ATAJA KITU AMBACHO DIAMOND ALIKITAKA SANA

MTANGAZAJI maarufu Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amefunguka kuwa aliyekuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ alitaka wazae kipindi walipokuwa wapenzi.
Jokate Mwegelo ‘Kidoti’.
Jokate alifunguka hayo juzikati alipokuwa akifanya mahojiano maalum na mapaparazi wa Global Publishers, pamoja na kufunguka mengi, alibainisha kuwa Diamond huwa anapenda watoto kwenye uhusiano.
Nasibu Abdul ‘Diamond’.
“Mh! Diamond anapenda kuzaa, tena siyo kwangu tu wanawake wake wote huwa nasikia anataka kuzaa nao,” alisema Jokate.

No comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII