KAMPENI ZA URAIS TFF ZAZINDULIWA LEO....TAZAMA JINSI JAMAL MALINZI ALIVYOZINDUA KWA KISHINDO
Mgombea
Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF 2013, Jamal Malinzi
akizindua kampeni yake leo jijini Dar, mbele ya waandishi wa habari na
wadau wa mpira wa miguu ambapo alielezea mikakati yake mbali mbali ya
kuendeleza soka.
0 comments:
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII