KWELI RIHANA NI BALAA, TAZAMA PICHA ZA KISHETANI ALIZOPIGA NA JARIDA LA GQ

Mojawapo ya picha alizopiga Rihanna kwa ajili ya jarida la GQ la Uingereza.
Rihanna katika pozi tofauti kwa ajili ya jarida la GQ.
KAMA kawaida yake, Rihanna amepiga picha kwa ajili ya jarida la GQ la Uingereza akiwa nusu utupu tangu juu hadi chini.
Mwimbaji huyo maarufu duniani amelipamba jalada la mbele la jarida hilo toleo la Novemba akiwa hajavaa chochote cha maana tangu juu ukiachilia mbali kichwa chake ambacho kimezingirwa na kufunikwa na majoka.
Rihanna akiwa amefunikwa na majoka kichwani.
Picha hizo zimepigwa na Mariano Vivanco kwa kusimamiwa na Damien Hirst, zikitoa taswira ya simulizi ya Kigiriki kuhusu Medusa (mlinzi wa kike) ambayo imetumika katika kuadhimisha mwaka wa 25 wa jarida hilo.
Toleo hilo litakuwa mitaani tarehe 31 Oktoba mwaka huu.
Picha zote kwa hisani ya Akaunti ya Instagram ya Badgalriri.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII

Copyright © 2013. ArtAfropixels Media.com - All Rights Reserved
Customized by: IT XPERTTZ ONE | Powered by: BS
Designed by: Tilabs