Leo mitaa ya Manzese
ilikuwa ni siku ya uchukuaji wa picha za video ya audio mpya ya Shaa
“Sugua Gaga” … The video inatarajiwa kutoka wiki kadhaa zijazo huku
teaser ya Audio hiyo pamoja na pics ikielezea utamu na how video hiyo
itakuwa …
Pengine hii ni track na video ya kwanza Shaa akifanya ikiwa kwenye mahadhi ya ladha ya uswahilini kabisa, chini ya usimamizi wa Mkubwa na Wanawe (Saidi Fella)
Check out photos za video ya “Sugua Gaga” iliyokuwa inafanyika leo …

No comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII